Bonde la ufa nchini Tanzania ni eneo lenye mtawanyiko mkubwa sana wa lugha. Pia ni makazi ya watu wengi wenye tamaduni na lugha tofauti tofauti. Eneo hili lina lugha toka makundi yote matatu ya lugha za Afrika, Nailo shara, Naija - kongo, Afrika-Asia pamoja na lugha mbili tengamano za Hadzape na Sandawe.
Ili kujua lugha zinazozungumzwa eneo hili, fuata orodha iliyo hapa chini. Baadhi ya washirika/wanachama wetu wanafanya tafiti zao sasa. Kurasa mahususi za lugha moja moja zitakujia hivi punde, tafadhali usikose kurejelea nyumakurudi uzione Tanbihi: Lugha nyingi katka eneo hili zina majina mengi tofauti tofauti. (Kwa mfano, nchini Tanzania, waDatooga wanaitwa pia waMang’ati au Kimang’ati na wageni. Hata hivyo hii inachukuliwa kuwa dharau kwa waDatooga wenyewe). Wakati mwingine tumeonesha majina zaidi ya moja kwa lugha fulani ingawa tunatilia mkazo jina linalotumiwa na wazungumzaji asilia wa lugha au lahaja husika. Ikiwa utagundua kosa lolote, tafadhali usisite kuturekebisha! |
Alagwa |
BurungeSouth Cushitic; Afro-Asiatic
Glottolog entry |
DatoogaSouthern Nilotic; Nilo-Saharan
Glottolog entry |
GorowaSouth Cushitic; Afro-Asiatic
Glottolog entry |
HadzaIsolate
Glottolog entry |
Ihanzu (Nyisanzu)Bantu; Niger-Congo
Glottolog entry |
IraqwSouth Cushitic; Afro-Asiatic
Glottolog entry |
Kimbu (Yanzi)Bantu; Niger-Congo
Glottolog entry |
MbugweBantu; Niger-Congo
Glottolog entry |
Nyaturu (Rimi)Bantu; Niger-Congo
Glottolog entry |
Nyilamba (Iramba)Bantu; Niger-Congo
Glottolog entry |
Rangi/LangiBantu; Niger-Congo
Glottolog entry |
Sandawe
Isolate
Glottolog entry
Glottolog entry