WashirikiMtandao wa tafiti wa bonde la ufa ni kundi la watafiti linalohusika na lugha na tamaduni zinazopatikana katika bonde la ufa. Mtandao huu wa utafiti umeanzishwa ili kurahisisha ushirikishwaji wa tafiti, kusaidia kuunda ushirika/mahusiano mpya na kutoa fursa kwa watafiti kubadilishana uzoefu (kuelimishana).
WashirikaWanachama wa mtandao huu wanapatikana ulimwenguni pote na katika taasisi mbalimbali. Kurasa binafsi za washiriki na habari zao zitaundwa hivi karibuni! |
- Christina Alphonce
- Sandra Bleeker
- Stefan Bruckhaus (Universität Hamburg)
- Varun de Castro-Arrazola (Leiden University)
- Amy Catling
- Jeremy Coburn (Indiana University)
- Emmanuel Dudiyeck
- Helen Eaton (SIL International)
- Edward Elderkin
- Hannah Gibson (University of Essex)
- Richard Griscom (University of Oregon)
- Harald Hammarström (Uppsala University)
- Andrew Harvey (Tokyo University of Foreign Studies)
- Joseph Hokororo Michael Karani (University of Dar es Salaam)
- Roland Kießling (Universität Hamburg)
- Anne Kruijt (University of Verona)
- Amani Lusekelo (University of Dar es Salaam)
- Kirk Miller
- Alice Mitchell (University of Bristol)
- Kuria Mode
- Maarten Mous (Leiden University)
- Derek Nurse
- Twan Peters
- Lizzie Poole
- Bonny Sands (North Arizona University)
- Sander Steeman
- Oliver Stegen (SIL International)
- Vera Wilhelmsen (Roskilde University)
- Brian Wood (University of California, Los Angeles)